Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Uchunguzi wa gari la Mwanariadha Kiptum umeanzishwa

Wapelelezi Nchini Kenya Wanachunguza Hali Ya Kiufundi Ya Gari Alilokuwa Akiendesha Kelvin Kiptum Na Kocha Wake Raia Wa Rwanda Gervais Hazikimana Waliokuwa Na Mtu Mwingine Wa Tatu Kabla Ya Kupata Ajali Mbaya Ya Barabarani Kwenye Barabara Ya Eldoret Eldama Ravine Februari 11 2024.

Wachunguzi Hao Wanasema Bado Ni Mapema Kueleza Ni Nini Kilitokea Kabla Ya Ajali Hiyo Iliogharimu Maisha Ya Mwanaridha Huyo Aliyekuwa Na Kocha Wake Raia Wa Rwanda Pamoja Na Mwanamke Mmoja Wakitokea Eldoret Kuelekea Eldama Ravine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *