Tyla hapendi wanaume wa aina hii

Staa wa muziki kutoka Afrika Kusini,Tyla Laura Seethal, maarufu kama #tyla amefunguka kuwa havutiwi na mwanaume anayemtongoza kabisa.

Akifanya mahojiano na Bianca show, Tyla anasema mwamaume wa aina hiyo havutiwi kabisa ila mwamaume ambaye anaonesha hana muda naye yeye ndio anavutiwa zaidi.

“Si vutiwa na wamaume anayenitongoza kabisa. Mimi nataka mwanaume ambaye anaonekana havutiwi kuwa na mimi hata kidogo,” amesema mrembo huyo ambaye ametajwa kuwania tuzo ya Grammy 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *