Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Tyla anamzimikia Rema

Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla Laura Seethal, maarufu Tyla, ambaye anatamba na ngoma ‘Water’ amesema ikitokea kuwa na mahusiano na mtu maarufu basi atakuwa na mkali wa Afrobeats wa Nigeria, ambaye ni Rema.

Tyla amesema hayo katika mahojiano ya hivi karibuni na Apple Music.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *