Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Tyla ajiweka pazuri 2024

Staa wa muziki kutoka Afrika Kusini, Tyla ameweka wazi kuwa yupo mbioni kuachia albamu yake ya kwanza ifikapo 2024.

Mrembo huyo amefunguka  hayo kupitia kipindi cha “COLORS” ambapo aliimba ngoma yake mpya iitwayo “On and On”.

Katika ukurusa wake wa X, amewataka mashabiki zake kuanza kuoda albamu yake hiyo ambayo ameandaa kwa takribani miaka miwili na ameipa jina la ‘Tygers’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *