Imeelezwa kuwa wazazi wa King Cairo, rapa Tyga na baby mama wake Blac Chyna wamemaliza tofauti zao.
Kwa mujibu wa mitandao wa TMZ, wawili hao wamefikia muafaka hivyo na watakuwa na haki ya kufanya maamuzi kuhusu ustawi wa jumla wa mtoto, elimu na afya yake.