Rapa kutoka nchini Marekani Ty Dolla Sign aripotiwa kubadilisha dini na kuwa Muislamu. Taarifa hii ya Ty inakuja baada ya kuonekana kwenye video i yupo Mskitini akiswali na kukabidhiwa kitabu tukufu cha Quran.