TWIGA STARS YAFUZU WAFCON

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imefuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) 2026, kwa jumla ya mabao 3-0 dhidi ya Ethiopia.

Katika mchezo wa kwanza wa jijini Dar es Salaam, Twiga Stars iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na leo kushinda 1-0.

Hii ni mara ya pili mfululizo na ya tatu kwa Twiga Stars kufuzu michuano hii baada ya kufuzu mwaka 2010 na 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *