TUNACHUNGUZA ASKARI KUHUSIKA KUPOTEA KWA MDUDE – POLISI

Jeshi la Polisi Nchini, limesema linafuatilia tuhuma zilizotolewa katika mitandao ya kijamii kuwa Askari wawili walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha.

Taarifa iliyotolewa hii leo Mei 4, 2025 na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, David Misime imeeleza kuwa kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai limeunda kikosi kazi ambacho tayari kimeshafika mkoani Mbeya kwa ajili ya uchunguzi juu ya suala hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *