Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29, inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake hapo kesho (Alhqmisi ya Aprili 23, 2026) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa habar katika ofisi za Tume hiyo, jijini Dar es Salaam.

Ripoti hiyo, inatarajia kuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.


