‘Tulimnyima kolabo, Alipauka sana mdomo’- BON EYE

Memba wa kundi la muziki la P-Unit’s, kutoka Kenya, Bon-Eye amefunguka kuwa wakati kundi lao lipo kileleni walimnyima kolabo Diamond Platnumz.

Akipiga story na kituo cha #SpmBuzz, mkali huyo amesema kuwa “Tulimsubirisha Diamond Platnumz sehemu ya kumpumzika hotelini kwa saa 4, tulinyima kolabo ,…Gabu alisema lips zake zilikuwa zimeparara (kupauka sana na zinatoa mgamba)”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *