Tory Lanez akataliwa dhamana

Jaji David V. Herriford amelikataa ombi la Tory Lanez la kutaka kuachiliwa kwa dhamana. Mwimbaji huyo wa alipatikana na hatia mnamo Agosti kwa mashtaka yaliyotokana na kumpiga risasi Megan Thee Stallion 2020.

Mtandao wa Rolling Stone, unabainisha kuwa Staa huyo kutoka nchini Canada amekataliwa kwa sababu tatu za msingi. Kwanza, uzito wa uhalifu wa vurugu. Pili, historia yake iliyoandikwa ya kupuuza maagizo ya mahakama. Tatu ambayo ni hatari ya asili ya kufukuzwa ambayo alikuwa nayo kama raia asiye wa Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *