Top four ya Babu Tale

Meneja wa Diamond Platnumz, na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Babu Tale ametaja orodha ya wasanii wanne tu! Hapa 255 waliokonga moyo wake.

Babu tale amemtaja Zuchu na Nandy upande wa wasanii wa kike na kwa wanaume amemtaja Mbosso na Young Lunya.

Na kwa mwaka huu katika tuzo za Muziki Tanzania, Zuchu aliondoka na tuzo tano na Mbosso aliondoka na Moja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *