Orodha ya warembo 12 walioingia nafasi ya 12 Bora yatajwa na kwa bahati mbaya Tanzania ahijaingia nafasi ya 12 Bora.

Tanzania kupitia Halima Kopwe iliingia nafasi ya 40 Bora.

Shindano la Miss World linafanyika India Machi 9.
America:
Brazil @letticiafrota
Dominican Republic @mavictoriab
Trinidad and Tobago @acheabrahams
Africa
Botswana @lesego_chombo
Mauritius @liza.gundowry
Uganda @hannahkarema
Europe
Czech Republic @krystyna_pyszko
England @jessicaashley_
Spain @paulaswnson
Asia and Oceania
Australia @kristenawright
India @sinishettyy
Lebanon @yasminazaytoun