Filamu ya mwanadada Tiwa Savage iitwayo ‘Water and Garri’, inatarajiwa kutoka mwaka huu chini ya kampuni ya Prime Video.

Water and Garri ni jina la EP ya mwanadada huyo ambao ilitoka Agosti 2021 na ilibeba ngoma zipatazo tano ambazo ni :-Work Fada, Ade Ori,Tales by Moonlight, Somebody’s Son na Special Kinda.
Hivi karibuni Tiwa Savage ametengeneza vichwa vya habari baada ya kufungua kesi dhidi ya msanii mwenzake Davido.


