Tiwa Savage ameapa kutompa siri tena Mama yake

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameapa kutokujua kumpa siri yoyote mama yake mzazi kwani sio mtu anayeweza kutunza siri!!

Katika mahojiano aliofanya na MTV UK, Tiwa anafunguka kuwa alimpasiri  mama yake kuwa ataenda kutumbuiza kwenye sherehe za Kifalme huko Uingereza yani sherehe ya King Charles III, ifikapo Mei 7, ila baada ya dk 20 tu akajua mama yake akamwambia kaka yake kwani alimpigia sumi na kumpongeza kwa kupata mchongo huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *