Ni rasmi sasa Timu nne za Afrika zilizoboronga zitaingia katika hatua ya mtoano, ili kufuzu hatua ya mashindano ya Kombe la Dunia.
Timu hizo ni ๐๐๐ฆ๐๐ซ๐จ๐จ๐ง, Nigeria, ๐๐ ๐๐จ๐ง๐ o na ๐๐๐๐จ๐ง, ambapo timu mojawapo itaungana na mataifa mengine nane yaliyokwisha kukata tiketi rasmi.
Mataifa hayo ni - 1.Ivory coast ๐ฎ๐ช 2.Senegal ๐ธ๐ณ 3.Egypt ๐ช๐ฌ 4.Tunisia ๐น๐ท 5.South Africa ๐ฟ๐ฆ 6.Cape Verde ๐จ๐ป 7.Algeria ๐ฉ๐ฟ 8.Morocco ๐ฒ๐ฆ
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), linaeleza kuwa viwango vya hivi punde vya FIFA (kutoka Okt 23) vitaamua mechi hizo, ambapo Nigeria huenda ikaikabili Gabon na Cameroon dhidi ya DR Congo.
Mechi za mchujo zitafanyika nchini Morocco Novemba 2025 kama mechi moja. ambapo washindi watakutana katika fainali, huku bingwa akisonga mbele kwa kufuzu kwa Kombe la Dunia.
Je? Unaona ni timu ya Taifa lipi itapenya na kutinga katika mashindano ya Kombe la Dunia?