The African Princess, Lebo ambayo imekuwa ikisimamia kazi za Yasirun Shaban ‘Yammi’ imesitisha rasmi mkataba na msanii huyo kwa makubaliano ya pande zote mbili.

African Princess inaeleza kuwa tayari Yammi amepata wawekezaji wapya watakaomsimamia, ili kumsaidia kufikia ndoto zake kimataifa.