TFF wapeleka ‘sofa’ kwa Mkapa

Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023, muda huu katika uwanja wa Benjamin Mkapa kumewekwa viti vipya kwaajili ya Mabenchi ya Timu na Maofisa wa mchezo.

Viti hivyo ni vya kisasa yaliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika mchango wake wa marekebisho ya awamu ya kwanza uwanja wa Benjamin Mkapa.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *