TFF waingia mkataba na Saudi Arabia

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Rais wa TFF, Wallace Karia limeingia mkataba wa ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Saudia Arabia, ambao utakaogusa maeneo mbalimbali ya utawala, ufundi, timu za Taifa, waamuzi, miundo mbinu, mashindano na ligi,mpira wa miguu wa wanawake, soka la vijana, soka la ufukweni na futsal.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *