Rais wa Jamhuriya Muungano waTanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan hii leo Aprili 5, 2025 amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali, huku akimteuwa IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa, STAMICO.
Teuzi nyingine ni kama inavyojionesha katika kiambata hapo chini.
