Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Teni azindua miwani zitauzwa kwa 30k

T

Rapa wa kike kutoka nchini Nigeria, Teni The Entertaine,  ameingia rasmi sasa kwenye ulimwengu wa Mitindo au Fashion kwa kuzindua rasmi bidhaa yake ya miwani zilizopewa jina SS23: SHUSHI x TENI.

Teni ameingia ushirikiano na kampuni ya SHUSHI, iliyopo Mjini Abuja -Lagos, Nigeria kutengeneza miwani hizo ambazo zimeingia rasmi sokoni Agosti 31,2023 na zipo aina tofauti tofauti kama, DUD, FARI, BULUU, KUDI na HARSHE zenyewe zinauzwa kiasi cha $39.24, sawa Tsh/= 98411.82, huku miwani aina ya MAKANAKI inauzwa $70.89 sawa Tsh/= 177788.32. Kwa sasa miwani hizi zinapatika akwenye mitandao wa SHISHI pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *