Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Teni ashafanya yake

Zikiwa zimepita wiki kadhaa tangu aingize sokoni bidhaa zake za miwani, Staa wa muziki kutoka Nigeria Teni Entertainer amerudi kwa kishindo msimu huu wa majira ya joto kwa kuachia Wimbo uitwao ‘Lanke’ ambao umetayarishwa na Blaisebeatz ambaye ni mshindi wa tuzo nchini humo.

Ngoma hiyo ya Lanke ina midundo ya Afropop, iliyofanywa kwa ustadi mkubwa sana.Na video yake imetengezwa kwa mandhari nzuri ya kiangazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *