Mwanadada Tems kutoka Nigeria amefunguka juu ya kudaiwa kuna na ujauzito wa rapa Future.
Katika mahojiano aliyofanya na Beat 999, Tems amesema kuwa hajawahi kuwa na ujauzito wa Future na wala hajawahi hata kukutana nae uso kwa uso.
Pia akaongeza kuwa tetesi hizo zilimfanya mpaka kuanza kupokea sms za kutishia maisha