Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Tanzania mwenyeji Mkutano wa mfumo wa chakula

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa mifumo ya Chakula Afrika 2023(Africa’s Food Systems Forum 2023 Summit), utakaofanyika kuanzia Septemba 4 – 8, 2023 mkoani Dar es Salaam.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema mkutano huo utawakutanisha zaidi ya washiriki elfu tatu kutoka nchi mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na Wakuu wa nchi, Watu mashuhuri, Wafanyabiashara, Wawekezaji na Wataalam wa mifumo ya chakula.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *