Tanroads yaagizwa kurejesha Mawasiliano Shinyanga,Geita

Waziri Wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemuagiza Meneja wa Tanroads Mkoa wa Shinyanga kushughulikia changamoto ya uharibifu wa daraja linalounganisha Mkoa wa Geita na Shinyanga ili kurejesha mawasiliano yaliyokatika kwa zaidi ya Siku 5.

Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo leo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu wakazi akijibu swali la mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani aliyeuliza nini mkakati wa serikali kuhakikisha daraja hilo linajengwa kwa uhakika ili kuondoa hadha hiyo kwa wananchi?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *