Staa wa muziki kutoka Kenya Tanasha Donna amekiri kufanya upasuaji wa mdomo wake,upasuaji uliohusiha kuujaza na kufanya kuwa mnene.

Kupitia mtandao wa Snapchat, Tanasha amewatoa wasiwasi mashabiki zake juu hali yake na kuelez kwamba atapo na kwasasa midomo yake bado ni mibichi.
Kauli hii imekuja kufuatia mashabiki wa mrembo huyo kugundua uwepo wa Mabadiliko katika Midomo ya Mlimbwende huyo na kuibua mijadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii.