Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya Taifa Stars na benchi la ufundi wakiwa katika picha nya pamoja baada ya kufanya ibada ya Umrah katika msikiti mtukufu wa Makkah ambao upo nchini Saudi Arabia.
Siku ya jana Taifa Stars walikuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan, na baada ya mchezo walienda kumshukuru Mungu.
Picha na Azam TV