Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Klabu ya soka ya Yanga, zimetajwa kwenye tuzo za CAF kwa mwaka huu 2023.
Timu ya Taifa ya Tanzania ipo kwenye tuzo ya timu bora ya Taifa ya mwaka ambapo anachuwana na (Namibia, Senegal, Morocco, Mozambique ,Guinea, Mauritania ,Gambia na Cape Verde) na Yanga inawania tuzo ya Klabu bora ya mwaka ambapo anachuwana na (USMA , AL Ahly, Wydad ,Raja ,Esperance ,Marumo ,Mamerodi ,Asec na Belouizdad )