Staa wa muziki, Harmonize usiku wa jana ameingia studio na msanii wa Congo, ambaye amefanya wimbo maarufu sana uliopewa jina la ‘Tabulele’ na wamerekodi wimbo ambao ni maalumu kwaajili ya Yanga, uitwao ‘Rahaa’.
Msanii huyo wa Congo alifika usiku wa Jana nchini na kupokelewa na Afisa Habari wa mawasiliano wa Yanga, Alikamwe.