Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Sukari itauzwa kuanzia 2700 kwa kilo

Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo.

Bei Elekezi za Rejareja kwa Kilo 1 ya Sukari ni kama ifuatavyo: Dar, Morogoro, Pwani, Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe Tsh. 2,700 -3000, Dodoma, Singida, Tabora Tsh. 2,800 – 3,000, Lindi Mtwara, Ruvuma Tsh. 2,900 – 3,200

Mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara Tsh. 2,800 – 3,000, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara Tsh. 2,700 – 3,000 na Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa Tsh. 2,800 – 3,200.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *