Klabu ya Stand United imetozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) na kutakiwa
kucheza bila mashabiki kwa michezo mitano (5) kwa kosa la mashabiki wake
kuingia uwanjani na kuwapiga waamuzi wa mchezo tajwa hapo mara baada ya
kumalizika kwa mchezo huo.
Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 47:(1 & 25) ya Ligi ya Championship
kuhusu Udhibiti kwa Klabu.