Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Stand United yamtimua kocha wake

Klabu ya Stand United FC’Chama la Wana’ yenye maskani yake Shinyanga, imemfuta kazi kocha wake mkuu Zulkifri Iddy, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la kwanza (NBC Championship).

Hadi sasa Stand United FC imecheza michezo sita, imeshinda miwili, sare moja na kupoteza mitatu, ikiwa na alama 7 nafasi ya 11 kwenye msimamo.

Stand United FC inakuwa timu ya pili ya NBC Championship msimu huu kumfuta kazi kocha wake, baada ya FGA Talents FC ya mjini Morogoro iliyomfuta kazi Flugence Novatus.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *