Stand United FC yamuaga Salum Kisondo

Stand United Chama la wana kutokea Shinyanga imetangaza kuachana na mchezaji wake Salum Kisondo.

Kisondo alikuwa sehemu ya kikosi cha Stand United kwa msimu mmoja.

Stand United inayodhaminiwa na Jambo Food Product ni timu pekee kutoka Shinyanga inayoshiriki Championship huku ikibeba matumaini ya Kuwarejesha ligi wakazi wa Shinyanga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *