Kupitia Instastory yake, Harmonize ameweka wazi wiki hii amefanya kitu kizuri na staa wa muziki kutoka Kenya anayewakilisha Sauti Sol, Savarana. Harmonize ameshare picha akiwa studio na staa huyo na wamefanya kolabo.


P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz