Kupitia Instastory yake, staa wa muziki Harmonize amebainisha kuwa kuna staa mkubwa nchini Marekani amerekodi wimbo wake wa Single Again, hii ni baada ya Ruger kutoka Nigeria kurekodi.
Wimbo wa Single Again ni miongoni mwa nyimbo zilizompa mafanikio makubwa staa huyo kwa mwaka 2023.