Mkongwe wa Hip Hop, kutoka Marekani Snoop Dogg ametangaza rasmi kuachana na matumizi ya sigara na bangi baada ya mazungumzo ya kina na familia yake.
Snoop ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amewataka watu kuheshimu uamuzi huo ambao yeye na familia yake wameamua kuuchukua.