Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Sketi ya Mbosso ni Milioni 3.3

Usiku wa jana katika utambulisho wa msanii mpya lebo ya Wasafi, #mbosso alionekana ametinga vazi la sketi ambalo litatajwa kuwa ni vazi la asili kutoka nchini Scotland ambalo linauzwa kiasi cha £1,095.00 Sawa na Tsh/= 3,304, 119.93.

Vazi hili adimu limeshavaliwa na mastaa wa kubwa duniani akiwemo Kanye West, na asali ya vazi hili ni huko nchini Scotland.


Vazi hili linatambulika kama Klit na linapatikana kwa rangi mbali mbali na pia lipo kwa wanawake na wanaume, ila akivaa mwanaume nchi humo anatapa heshima zaidi. Hili ni vazi la kitamaduni kutoka nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *