Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Singida FG imefulia

Klabu ya Soka ya Singida FG, leo kupitia Rais wake Japhet Makau wameweka wazi kwa sasa timu hiyo inauhaba wa kifedha, jambo liliowafanya kuuza Baadhi ya wachezaji wake ili kuweza kulipa madeni ya  timu.

“Ni kweli tumeuza baadhi ya wachezaji wetu ili kupata fedha za kulipa madeni ya klabu” Rais wa Singida FG “

Akanongeza “Tulikuwa na wachezaji wazuri wenye ubora wa hali ya juu takribani 40. Hivyo hakuna athari yoyote tutakayoipata kwa kuuza wachezaji wachache. Bahati nzuri tulisajili wachezaji ambao ubora wao haupishani kwenye nafasi wanazocheza”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *