Simba yafungiwa na FIFA

Klabu ya Simba SC inayoshiriki Ligi kuu ya NBC imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya klabu ya Teugueth ya Nchini Senegal🇸🇳 kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho.

Uamuzi huo umefanywa na FIFA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *