SIMBA SC WAUKOSA UBINGWA WA SHIRIKISHO, BERKANE VIFUA MBELE

Wageni RS Berkane wametwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ya kutoa suluhu ya 1-1 na Simba SC katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.

Katika mchezo wa faunali ya kwanza, Simba SC ilipoteza kwa mabao 2-0 na sasa fainali hiyo imemalizika kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *