Simba SC waandika barua ya kumtaka Prince Dube

Klabu ya Soka ya Azam FC imethibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji Mchezaji wa timu hiyo Price Dube ambaye ni raiwa wa Zimbabwe.

Vilabu hivyo ni Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *