Simba SC kukipiga na JKT leo uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo

Jioni ya leoSimba ina mechi ya ugenini dhidi ya JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni, Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni.

Simba ambayo inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi na pointi 33, itakuwa ikicheza mara ya kwanza kwenye uwanja huo dhidi ya JKT ambayo ipo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi ikiwa na point 16.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *