Mtandao wa TRT ukinukuu Ripoti ya Transfer Markt umeainisha orodha ya klabu 14 za Mpira wa Miguu ambazo ni tajiri ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Katika orodha hiyo Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza Simba SC ikiwa ni ya kwanza ikifuatiwa na Yanga SC na kisha Azam FC.
Una Maoni gani Kuhusiana na Taarifa hii?