Mechi imemalizika huko nchini Misri kwenye dimba la Cairo International ambapo Al Ahly wamefanikiwa kusninda goli mbili mbili wakiwa uwanja wao wa nyumba na moja ni lile walilolifunga Simba ndipo la Mkapa.
Al Ahly 2-0 Simba (Agg: 3-0)
Kwa matokeo hayo Simba SC wanatupwa nje kwenye michuona ya ligi ya Mabingwa Afrika,