Mchezo wa Ligi kuu kati ya Simba SC na Namungo, umekamilika kwa Dakika 90’ na 4’ za nyongeza ambapo wanatoka sare ya goli moja moja na kugawana point 1.
Namungo ndio walioanza kupata goli kipindi cha kwanza kupitia Lusajo. Na Simba baada ya kurudi mapumziko wanapata goli kupitia Jean Baleke.