Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Simba kudai fidia ya Mil.100?

“Aliyeweka yale mabango ni kampuni ya Outdoor ambayo ni kampuni ya kibiashara ,imeweka mabango na nembo ya Simba bila ruhusa yetu ,nimewashauri viongozi kesho wachukue hatua za kisheria ,tulipwe milioni 100 kwa kuchezea nembo yetu bila sababu ya maana “

“Hili tangazo limewekwa na kampuni ya outdoor , ni tangazo la kibiashara ambao wamekubaliana na Yanga ,sisi hatuna tatizo na Yanga waweke matangazo vyovyote wanavyotaka lakini wasiweke tangazo la biashara”

“Kwaa kuwa wameweka tangazo la biashara ,sisi tunawadai watu wa outdoor watulipe pesa “

Aden Rage /Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *