Simba wanafanikiwa kuondoka na point 3 na goli mbili zilizofungwa na Jean Baleke na Moses Phiri. Na Ihefu wakiondoka na goli moja lililofungwa na Ismail Mgunda
Mchezo huu wa Ligi kuu umechezwa Uwanja wa Mkapa Dar Es Salaam.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz