Staa wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy, ameweka wazi kuwa hivi karibuni alikataa ofa ya dola milioni 5 kwenda kutumbuiza Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa kuwa sheria za taifa hilo zisingemruhusu kutumia sigara kubwa/bwege akiwa huko.
Kumbuka hapa nyumbani Tanzania, pia ni marufuku kutumia sigara kubwa/bwege kwani ni Dawa za kulevya.
