Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Shoo yake moja ni Bilioni 1.5

Staa wa muziki kutoka Nigeria, @davido amewaacha midomo wazi mashabiki kwa kile alichosema kuwa shoo moja yeye analipwa dola 600,000 sawa na Bilioni 1,504,112,431.40 za Kitanzania.

Davido anasema pia hiyo ni ndogo kwa shoo, na ukizingatia kwa mwezi anaweza kuwa na shoo mpaka nne hivyo anatoza Dola milioni 2 hadi 3 ambayo ni sawa na Tsh/=5,013,708,104.67 hadi Tsh/= 7,520,562,157.01. Amefunguka hayo alipokuwa akiongea na mmiliki wa IceBox , Zahir Jooma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *