Shindano la Miss World 2023 halifanyiki

Shindano la Miss World 2023 lililotarajiwa kufanyika Desemba 16 huko jiji la Delhi – India limesogezwa mbele hadi Machi 2, 2024 huku chanzo kikitajwa kuwa nchi hiyo itakuwa kwenye uchaguzi mkuu.

Taarifa ya Tamasha hilo la 71 kuhairishwa limetolewa na rais wa shindano hilo, Julia Morley.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *